Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala Septemba 8, 2012. Picha na Ikulu.
Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha (kulia kwake) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajab Gamaha wakielekea kwenye mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala Septemba 8, 2012. Picha na Ikulu.