RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BENKI YA TIB

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi makao makuu ya Benki ya Rasilimali (TIB), Tawi la benki hiyo lililopo hapo mlimani City Jijini Dar es salaam hukubenki hiyo ikisherehekea miaka 40 tangu kuanzishwa kwa benki hiyo. Rais Jakaya Kikwete pia ameizindua benki hiyo kuwa benki ya Maendeleo ili kusaidia katika kusukuma maendeleo ya wananchi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Viongozi wa Benki ya Rasirimali TIB wageni waalikwa na wafanyakazim wa benki hiyo kwenye ukumbi wa mlimani City

JAKAYA KIKWETE

Rais Jakaya kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugezni wa Benk hiyo Prof. William Lyaruu huku Gavana wa Benki Kuu Prof. Beno Nduru akimsikiliza mara baada ya rais Jakaya Kikwete kuzinduz rzsmi benki hiyo.