
Mchumi Mkuu Mwandamizi, Joseph Kiraiya (wa pili kushoto) akimuonesha Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete moja ya vitabu wanavyovitumia ndani ya Wizara ya Fedha wakati rais alipofanya ziara katika banda hilo leo.

Rais Jakaya Kikwete (wa tatu kulia) akiangalia Bendi ya Wizara ya Fedha ilipokuwa inatumbuiza wakati akilitembelea banda la Wizara hiyo, Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Rais Jakaya Kikwete akiwa ndani ya Banda la Benki ya Posta Tanzania, kushoto ni wafanyakazi wa benki hiyo wakimpa maelezo anuai.

Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi (kulia) akitoa maelezo kwa Rais Jakaya Kikwete alipotembelea banda hilo leo katika Maonesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.