Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]