Rais Dk. Shein Akutana na Waziri Uingereza Mark Simmonds

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw. Mark Simmonds alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.}

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza  na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw. Mark Simmonds alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.}