Rais Dk Shein Akutana na Spika wa Bunge la Korea Kusini
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Korea Kusini Kang Chang Hee, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake leo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]