Rais Dk Magufuli Katika Kikao cha Kwanza na Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU.