Rais DK Magufuli Ashiriki Ibada Parokia ya Toleo la Bwana Jimbo la Arusha

ar3

ar1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.

ar4

Sehemu ya waumini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli alipokuwa akiwsalimia aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.

ar15 (1)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akishiriki katika ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.

ar21

ar21: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli akipokea zawadi ya Biblia Takatifu kutoka kwa Padri Kiongozi Peter Pinto aliposhiriki ibada ya Jumapili ya Kupaa kwa Bwana katika Parokia ya Toleo la Bwana jimbo la Arusha leo Mei 8, 2016.

PICHA NA IKULU