Rais Dk Magufuli Afungua Ujenzi wa Barabara za Juu Tazara Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya juu ya TAZARA FLY-OVER.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale akitoa taarifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli (wannekulia) kuhusu mradi wa ujenzi wa TAZARA FLY-OVER kabla ya kuweka jiwe la msingi wa ujenzi huo, wa nne kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifatilia kwa makini.

Muonekano wa barabara ya juu katika makutano ya barabaraza Nelson Mandela na Nyerere zitakavyokuwa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa TAZARA FLY-OVER jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akizindua rasmi ujenzi wa barabara ya juu eneo la TAZARA jijini Dar es Salaam.