Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi na wafanyakazi wa PPF na NSSF pamoja na wananchi wa jiji la Arusha kabla ya kufungua rasmi jengo la la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana, Jenista Mhagama, Meya jiji la Arusha Mstahiki Calist Lazaro Bukhai, Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Ramadhani Khijja wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akikagua moja ya ofisi katika jengo hilo la Mfuko wa Pensheni PPF mara baada ya kulifungua
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mipango kabla ya kufungua rasmi jengo la la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa PPF pamoja na Menejimenti nzima. Wengine katika picha ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama, Meya jiji la Arusha mstahiki Calist Lazaro Bukhai, Mwenyekiti wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Ramadhani Khijja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mipango, Waziri wa Kazi wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge kazi ajira na vijana Jenista Mhagama, Meya jiji la Arusha mstahiki Calist Lazaro Bukhai wakitoka kwenye jengo la Kitega uchumi la PPF mara baada ya kulingua jijini Arusha.
Meya jiji la Arusha mstahiki Calist Lazaro Bukhai akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya ufunguzi rasmi wa Jengo la Kitega uchumi la Mfuko wa Pensheni wa PPF jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wakati kikundi cha ngoma za asili cha kimasai kilipokuwa kikitumbuiza pembezoni mwa jengo la kitega uchumi la NSSF jijini Arusha
PICHA NA IKULU