![Rais wa Marekani Barack Obama, akiwasili Ikulu akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/ob1.jpg)
Rais wa Marekani Barack Obama, akiwasili Ikulu akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete.
![Mapokezi ya Rais Barack Obama Ikulu jijini Dar es Salaam](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/ob3.jpg)
Mapokezi ya Rais Barack Obama Ikulu jijini Dar es Salaam
![Mapokezi ya Rais Barack Obama Ikulu jijini Dar es Salaam](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/m11.jpg)
Muonekano wa Ikulu katika Mapokezi ya Rais Barack Obama jijini Dar es Salaam
![Mapokezi ya Rais Barack Obama Ikulu jijini Dar es Salaam](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/ob4.jpg)
Rais Barack Obama (kushoto) akiwa na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam wakielekea eneo maalumu la kuzungumza na waandishi wa habari.
![Rais Barack Obama Ikulu akizungumza na vyombo vya habari akiwa na mwenyeji wake, Rais Kikwete jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/ob6.jpg)
Rais Barack Obama (kushoto) Ikulu akizungumza na vyombo vya habari akiwa na mwenyeji wake, Rais Kikwete jijini Dar es Salaam.
![Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na mgeni wake, Rais Barack Obama Ikulu](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/ob91.jpg)
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na mgeni wake, Rais Barack Obama Ikulu
![Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/ob83.jpg)
Rais Obama akipanda mti aina ya mpingo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Issa Michuzi wa Ikulu)