
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha, Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Ikulu jijini Dar es salaam Mei 15, 2014. Picha zote na Ikulu.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam Mei 15, 2014.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam Mei 15, 2014. Picha zote na Ikulu.
