BONDIA wa kimataifa na bingwa wa dunia wa WBU uzani wa flyweight
MAGOMA SHABAN amefariki jana saa mbili na nusu usiku katika hospital
ya Bombo mjini Tanga anazikwa leo tarehe 1/6/2012 saa kumi nyumbani
kwao MABOVU KWAKAHEZA mjini Tanga.
katika uhai wake magoma Shaaban alikuwa bondia mahiri sana na aliweza
kuwa katika timu ya taifa na kushiriki mashindano mengi mbalimbali
baadae akahamia profesional(ngumi za kulipwa) huko nako alikuwa
anaendelea vizuri kwa kuwashinda mabondia wakali kiasi cha kuweza
kuchukua ubingwa wa dunia wa WBU(world boxing union) kwa kumpiga
mtaliano kwa ko kwao ITALY na kuuchukua mkanda huo mkubwa na wenye
heshima katika mchezo wa ngumi.
MAGOMA ameacha mke na watoto wawili
ifuatayo ni rakodi ya baadhi ya mapambano yake kwa ufupi
yaliyoorodheshwa katika matandao wa boxing records
Magoma Shabani
Global; ID 57594
sex; male
division; super flyweight
alias; Magoma Shaaban
country ; Tanzania
won 13 (KO 8) + lost 3 (KO 3) + drawn 0 = 16
rounds boxed 75 KO% 50
biography
Lb St Kg | ↑date↓ | ratings off on | print
date Lb opponent Lb W-L-D last 6 location division box pre box
aft opp pre opp aft
2006-07-21 Eugen Sorin Tanasie 9-0-1
Timisoara, Romania L TKO 2 6 bantamweight 6 5 18 35
2005-11-04 121¼ Dennis Olomi 120¾ debut
Riddoch Hall, Tanga, Tanzania W KO 7 10 bantamweight 6 6 0 0
time: 1:31 | referee: Kulwa Makalanga
2003-05-25 Mbwana Matumla 115 11-1-0
Diamond Jubilee Hall, Dar-Es-Salaam, Tanzania L TKO 4 12 super
flyweight 29 22 55 79
WBN Bantamweight Title
2002-07-26 114¾ Gabula Vabaza 115 14-0-1
Hemingways Casino, East London, Eastern Cape, South Africa L KO 1 12
super flyweight 37 29 72 100
referee: Len Hunt | judge: Sazi Xamlashe | judge: Edward Marshall |
judge: Alan Matakane
World Boxing Union super flyweight title
2001-08-03 Ferid Ben Jeddou 23-2-3
Avezzano, Abruzzo, Italy W TKO 6 12 super flyweight 5 37 26 15
referee: Ian John-Lewis | judge: Reg Thompson | judge: Karl Rogers |
judge: Edward Marshall
World Boxing Union super flyweight title
2000-11-05 Totin Lukunim debut
PTA Hall, Dar-Es-Salaam, Tanzania W KO 2 12 super flyweight 5 5 0 0
Vacant IBF Intercontinental Super Flyweight Title
IBF Supervisor: Onesmo Ngowi
2000-02-12 Bernard Njoroge debut
Florida Day and Night Club, Mombasa, Kenya W KO 2 8 flyweight 10 10 0 0
1999-09-12 Daudi Muhunzi 0-2-0
Dar-Es-Salaam, Tanzania W PTS 10 10 flyweight 10 10 0 0
Tanzanian (Obsolete select TPBC or PST) super flyweight title
1999-02-03 Joseph Makenge
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W KO 2 6 flyweight 10 10 0 0
1998-12-09 Joseph Waweru 1-1-0
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W KO 1 12 super flyweight 0 10 4 2
Vacant IBF Continental Africa Super Flyweight Title
IBF Supervisor: Onesmo Ngowi
1998-07-14 Khalid Ally
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W KO 3 10 super flyweight 0 0 0 0
1997-11-05 Yusuph Mnyetto 0-1-0
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W PTS 8 8 flyweight 0 0 0 0
1997-09-27 Athuman Omari 0-1-0
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W KO 3 8 flyweight 0 0 0 0
1997-09-27 Ramadhan Seif
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W PTS 8 8 flyweight 0 0 0 0
1997-05-03 Yusuph Mnyetto
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W PTS 8 8 flyweight 0 0 0 0
1996-03-06 Athuman Omari
Mkwakwani Stadium, Tanga, Tanzania W PTS 8 8 flyweight 0 0 0 0