Profesa Mbarawa Akagua Barabara ya Mafinga-Igawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC), inayojenga sehemu ya kwanza ya barabara ya kati ya Mafinga hadi Nyigo KM 74.1.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Wa tatu kushoto), akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Eng. Ekael Manase namna bora ya kupitisha mkongo wa taifa wa mawasiliano kwenye eneo chepechepe kwa gharama nafuu pembezoni mwa barabara ya Mafinga –Igawa yenye urefu wa KM 137.9.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Katikati), akikagua moja ya vifaa kwenye maabara ya uchunguzi wa udongo na vifaa vya ujenzi wa lami maraalipo kagua ujenzi wa barabara ya Mafinga –Igawa yenye urefu wa KM 137.9. Kulia na kushoto kwake ni wafanyakazi wa kampuniya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) Inayojenga barabara hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Katikati), akikagua moja ya vifaa kwenye maabara ya uchunguzi wa udongo na vifaa vya ujenzi wa lami maraalipo kagua ujenzi wa barabara ya Mafinga –Igawa yenye urefu wa KM 137.9. Kulia na kushoto kwake ni wafanyakazi wa kampuniya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) Inayojenga barabara hiyo.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC), inayojenga sehemu ya kwanza ya barabara ya kati ya Mafinga hadi Nyigo KM 74.1.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC), inayojenga sehemu ya kwanza ya barabara ya kati ya Mafinga hadi Nyigo KM 74.1.

Mashine ya kusaga kokoto inayotumiwa na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC,katikaeneo la Mafinga. Pembeni ni Mtaalamwama shinehiyo

Muonekano wa Ujenzi wa barabara ya Mafinga –Nyigo KM 74.1. Ujenzi huo unafanywa na kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kwa gharama ya shilingi bilioni 76.9 ikiwa ni sehemu ya kwanza ya barabara ya Mafinga – Igawa KM 137.9.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wafanyakazi wa taasisi zilizochini ya Wizara hiyo katika majumuisho yaziara yake yasi kunne Mkoani Iringa.