Prof Mbarawa, Naibu Wake Watembelea Bandarini Dar…!

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa akionyesha orodha ya majina ya makampuni ambayo yanatakiwa yawasilishe nyaraka zao za kuanzia Julai 2014 hadi Aprili 2015 kwenye ofisi za TPA ndani ya siku saba.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa akizungumza na uongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wakati alipotembelea bandarini hapo leo jijini Dar es Salaam

Mhe. Waziri Mbarawa akisisitiza jambo alipokuwa akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), jijini Dar es Salaam. Imetolewa na Kiteng cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Mhe. Waziri Mbarawa akisisitiza jambo alipokuwa akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), jijini Dar es Salaam.
Imetolewa na Kiteng cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.