
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Februari 9,2.2012. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lymo, Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Hawa Ghasia na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Marina Njelekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)