Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akizindua Tovuti ya Chama cha Wafanyakazi wa waserekali za mitaa kulia kwa waziri mkuu anaye shuhudia uzinduzi huo ni Mwenyekiti wa chama hicho Bibi Edna Mwaigomole na aliye vaa tai ni mtalamu wa kompyuta uzinduzi ume fanyika leo mjini Dodoma.

Picha ya washriki pamoja na Waziri Mkuu