
Wageni waalikwa....

Mr & Mrs Makamba wakiwa na binti yao Mwamvita kwenye dua hiyo maalum..

Wageni waalikwa wakijadiliana mambo....

Mzee Yusufu Makamba akifurahi na mmoja wa wajukuu zake ndani ya Jumba

Maustadhi wakipiga Sala kabla ya kuanza dua ya kuiombea Nyumba na wakazi wake....

Kutoka kulia, Bi. Mwamvita, Sophie, Jaki, na Adeline....

Bi. Mange Kimambi akiendelea kupoz.....

Mange Kimambi akiwa ndani Jumba!

Jumba kwa nje tena

Jumba la Bi. Mwamvita lionekanavyo kwa nje
Hongera sana Bi. Mwamvita Makamba kwa neema hii.
Picha zote na Mange Kimambi