Ofisa Michango (Compliance Officer) wa Mfuko wa Pesheni wa PPF Jacob Sulle akitoa maelezo mbalimbali juu ya faida za fao la Elimu kwa baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo katika Viwanja vya Mnazi mmoja.
Maofisa wa Tanzania Investment Benk wakiwaelimisha baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara jana katika Viwanja vya Mnazi mmoja juu huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo katika kuleta maendeleo nchini.
Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akiwaelimisha baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es alaam waliotembelea maonyesho ya Wizara ya Fedha ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo katika Viwanja vya Mnazi mmoja juu taratibu za upatikanaji na ubadilishaji wa leseni za zamani ili kupata mpya. Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es Salaam