George Binagi @BMGHabari UTAFITI uliofanywa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika MISA tawi la Tanzania (MISA Tanzania), umeonesha kwamba bado kuna changamoto kwenye upatikanaji wa taarifa za umma katika ofisi mbalimbali za serikali nchini. Matokeo ya utafiti huo yanaashiria kwamba bado hakuna uwajibikaji wa moja kwa moja kwenye sheria ya Haki ya kupata taarifa ya mwaka …
MHANDISI RAMO MAKANI AZUNGUMZA NA WAKAZI KIJIJI CHA MSHIRI KUHUSU ENEO LA NUSU MAILI
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba akiongozana na Naibu Waziri wa Malisili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani walipotembelea kijiji cha Mshiri katika wilaya ya Moshi kusikiliza Changamoto zinazo wakabili wananchi waishio kando ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia katika mkutano wa wananchi …
Ufunguzi Banda la Nafasi Art Space Chini ya Udhamini wa NMB
BENKI ya NMB Tanzania imedhamini ujenzi wa duka la Nafasi Art litakalotumiwa na watoto kujifunza mambo mbalimbali ambayo yanahusu sanaa ili kukuza vipaji walivyonavyo vya sanaa ili watakapokua waweze kuvitumia kutengeneza kipato. Akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa duka hilo, Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Ineke alisema udhamini huo ni sehemu …
TIGO Kutoa Smartphone na Muda wa Maongezi Saa 24
Mkutano na wanahabari ukiendelea. Kaimu Meneja wa Huduma za Masoko wa Tigo, Wiliam Mpinga, akionesha moja ya simu aina ya Teco S1 zitakazotolewa katika promosheni hiyo. Mtaalamu wa Bidhaa Mpya za Tigo, Jaqualine Nnunduma, akizungumzia promosheni hiyo. Na Dotto Mwaibale KAMPUNI inayoongoza kwa maisha ya kidijitali Tigo Tanzania, bado inawavutia wateja wake tena na prmosheni kubwa ambayo itashuhudia wateja hao …
Dk Mwakyembe aiahidi BFT kutatua kero ya eneo la Mafunzo
Na Benedict Liwenga – WHUSM WAZIRI wa Habari Utamaduni Sanaana Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewaahidi Shirikisho la Masumbwi Tanzania (BFT) kuwatatulia kero ya eneo la kufanyia mafunzo pamoja na ofisi ambalo limekuwa likiwakabili kwa muda mrefu zikiwemo na changamoto nyingine za Shirikisho hilo. Mhe. Mwakyembe ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na baadhi …