Hafla ya Uzinduzi wa Tawi la NBM Haydom Mkoa wa Manyara

    KILIO cha wakazi wa jimbo la Haydom wilaya ya Mbulu mkoani Manyara cha kukosa huduma za kibenki toka Tanzania ipate uhuru,kimepata ufumbuzi wa kudumu baada ya NMB benki, kufungua tawi katika mji mdogo wa Haydom. Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo la Haydom, Flatei Massay, katika kipindi chote hicho, wananchi wa jimbo hilo wamekuwa wakilazimika kufuata huduma za …

FINCA Microfinance yazindua kampeni ya FikaNaFINCA

  Meneja wa Masoko wa Benki ya Finca Microfinance Bw. Nicholous John,  Benki ya FINCA Microfinance Bwana Nicholous John akionyesha mfano wa tiketi ya ndege itakayotumika katika kampeni yao iliyopewa jina la FikaNaFINCA iliyozinduliwa jana jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Afisa Mawasiliano wa Shirika la ndege la Tanzania ATCL Bi. Lilian Fungamtama    MOJA ya Benki inayokua kwa kasi nchini, …

WFP YATAMBULISHA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA NJAA NCHINI

 Mmoja wa Blogger Bw. Bethuel Kinyori ambaye ni Mmiliki wa mtandao wa Dailypulse24.com akiuliza swali wakati wa Mkutano huo ulio fanyika katika Hotel ya New Africa Jijini Dar es salaam leo.  Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na waandishi wa Habari za Mtandaoni.   Mmoja wa wafanyakazi wa WFP Bw. …

OLE NASHA AJIVUNIA KUFUTWA BAADHI YA KODI NA TOZO SEKTA YA MAZAO

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe William Tate Ole Nasha (Mb) akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Charles Tizeba wakati wa uzinduzi wa maadhimisho  ya sikukuu ya wakulima – Nanenane, mwaka 2017 katika viwanja vya maonesho ya kilimo ya Ngongo Mkoa wa lindi, jana tarehe 1/8/2017.    Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na …

TenMet Yakutana na Bloggers wa TBN Kujadili Ushirikiano Kikazi

      Afisa Programu wa Mtandao wa Elimu Tanzania, (TenMet), Bi. Alistidia Kamugisha, akizungumza wakati wa kikao cha kujenga ushirikiano baina ya taasisi hiyo na Bloggers kilichofanyika makao makuu ya TenMet, Sinza jijini Dar es Salaam. MTANDAO wa Elimu Tanzania (TenMet) umekutana na kuzungumza na baadhi ya Bloggers wa Dar es Salaam kutoka TBN, kujadili masuala mbalimbali ya kiushirikiano. Majadiliano …