Benki ya NMB yachangia Milioni 10 Tamasha la Usalama Barabarani

          BENKI ya NMB leo imekabidhi mchango wa jezi za mpira wa miguu seti 10 pamoja na fulana 500 zikiwa na jumbe mbalimbali kuhamasisha uzingatiaji sheria na kanuni za usalama barabarani ikiwa ni kuchangia kufanikisha Tamasha kubwa la Usalama barabarani linalotarajia kufanyika uwanja wa Taifa hapo baadaye. Msaada huo umekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam kwa …

SERIKALI YAOMBWA KUDHIBITI KONOKONO WAHARIBIFU WA MAZAO

  Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk.Emmarold Mneney (kulia), akitoa mafunzo ya siku moja ya kilimo  kwa wakulima wa Mkoa wa Lindi kwenye Maonyesho ya Kitaifa ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Ngongo mkoani hapa jana. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH). Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Utambulisho ukifanyika. Ofisa Kilimo na Umwagiliaji …

WAKULIMA WAASWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA WAFANYABIASHARA

Na Mathias Canal, Lindi BAADHI ya kuimarisha umoja na ushirikiano wa wakulima wenyewe ni vema wakulima wakajenga mahusiano mazuri na wafanyabiashara ili kutokutoa mianya kwa madalali ambao mara nyingi wamekuwa wakilalamikiwa kuwa wananunua mazao ya wakulima kwa bei ya chini huku wao wakiyauza kwa bei ya juu. Hayo yameelezwa na baadhi ya wadau wa kilimo waliozuru katika sherehe za maonesho ya Wakulima Kitaifa yanayofanyika katika viwanja …

NMB Yawezesha Wakunga Muhimbili Kutoa Huduma za Afya Bure

              CHAMA cha Wakunga Tanzania (TAMA) Tawi la Hospitali ya Taifa Muhimbili chini ya udhamini mkuu wa Benki ya NMB kimetoa huduma za afya mbalimbali bure jijini Dar es Salaam, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya siku ya wakunga duniani. Akizungumza leo na mwandishi wa habari hizi katika tukio hilo linaloendelea Hospitali ya …

DK SASABO AHIMIZA MATUMIZI YA TEHEMA DODOMA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo, amezungumzia umuhimu wa taasisi za umma zilizo chini ya mradi wa Benki ya Dunia kuhakikisha mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), iliyofungwa inafanyakazi mara moja ili kuongeza tija na ufanisi katika kuhudumia wananchi. Akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua ufanisi wa matumizi ya …

MENGI ATAKA EAC KUTUMIA UTAJIRI KUTENGENEZA MABILIONEA

MWENYEKITI wa Taasisi ya sekta binafsi nchini (TPSF) Dr. Reginald Mengi amezitaka Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana katika kutumia utajiri wake mkubwa wa raslimali kunufaika kiuchumi. Ushirikiano huo ni pamoja na kuzindeleza raslimali hizo na kutumia nembo moja ya kibiashara ili kuzalisha mabilionea wakubwa duniani. Mwenyekiti huyo alisema hayo katika mkutano wa Taasisi za Sekta Binafsi za Tanzania na …