Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akikabidhi sehemu ya vyakula kwa mmoja wa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika Juni 24, 2017. Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu …
SSRA Yawanoa Maofisa Habari na Mawasiliano Serikalini, Wiki ya Utumishi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi. Irene Isaka (katikati), akiwa katika dawati la mapokezi akimuhudumia mteja kwa sura ya furaha katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Bi. Irene Isaka (wa pili kulia), akimsikiliza mteja kwa makini. Wafanyakazi wa SSRA …
SBL Yazindua Mradi wa Maji kwa Wakazi wa Chang’ombe Dar
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, John Wanyancha akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya uzinduzi wa mradi huo. KAMPUNI ya Bia Serengeti leo imezindua mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 68 uliopo katika eneo la Chang’ombe ‘B’ wilayani Temeke, jijini Dar es Salaam ikiwa ni jitihada za kuwaletea maji …
MEYA JIJI LA TANGA KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE WAJASIRIAMALI
Baadhi ya wanawake wajasiriamali katika Kata ya Nguvumali Jijini Tanga wakiwa kwenye mafunzo hayo WANAWAKE wajasiriamali Jiji la Tanga wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya kuwajengea uwezo katika utengenezaji na ubinifu wa bidhaa mbalimbali ili waweze kujikwamua kichumi jambo ambalo litasaidia kuondokana na utegemezi kwenye jamii. Mafunzo hayo ambayo yamekwisha kuanza katika kata ya Nguvumali yanatarajiwa kuwafikia wanawake wajasiriamali 120 na baadae kuendelea kwenye maeneo mengine …
WANAWAKE VIONGOZI WAMUOMBA MAGUFULI KUTEMBELEA MASOKO
Viongozi hao wakiwa katika warsha hiyo. Warsha ikiendelea. Warsha hiyo. Kulia ni Mwezeshaji Sheria kutoka Soko la Tabata Muslim, Irene Daniel. Taswira katika ukumbi wa mikutano. Mwezeshaji Sheria wa Soko la Temeke Sterio, Batuli Mkumbukwa akichangia mada. Mwezeshaji Sheria katika Soko la Ilala Mchikichini, Consolata Cleophas, akichangia mada. (kulia) ni Mwezeshaji Sheria kutoka Soko la Tabata Muslim, Aisha Juma …