Mwenyekiti wa Kijiji cha Ruyaya kilichopo Kata ya Lihmalyao wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi, Hassan Amanzi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kilimo kwa wakulima wa Kijiji hicho yaliyofanyika wilayani humo jana. Wengine ni viongozi na wajumbe wa kijiji hicho. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH). Wazee na vijana wakiwa kwenye mafunzo …
MHE HAMAD ASIFU TEKNOLOJIA YA SERIKALI MTANDAO KATIKA KILIMO
Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Muhammed Akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Serikali ya Mtandao wakati alipotembelea Maonesho ya kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi wa Zanzibar Mhe Hamad Rashid Muhammed Akisikiliza kwa makini maelezo mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Serikali ya Mtandao Kutoka …
JWTZ wapokea vifaa vya michezo kutoka NMB
Na Mwandishi Wetu, BENKI ya NMB leo imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) inayotarajia kushiriki Mashindano ya Kijeshi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itakayofanyika jijini Bujumbura – Burundi. Vifaa vilivyokabidhiwa leo ni pamoja na mipira kwaajili ya timu ya mpira wa miguu, mipira ya mchezo wa mikono (wasichana) na mipira …
KATIBU MKUU NYAMHANGA AAGIZA UJENZI MIZANI BARABARA YA DODOMA – BABATI
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga, amewaagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mikoa ya Dodoma na Manyara kuhakikisha wanatafuta eneo la kujenga kituo cha mizani ili kudhibiti madereva wanaozidisha uzito katika barabara ya Dodoma- Babati (km 263), inayojengwa kwa kiwango cha lami. Akizungumza katika eneo la Bonga, mkoani …
Rais Magufulia Awagawia Watoto Maziwa Akitembelea Viwanda Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi alipowasili kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano …