MATUKIO PICHA SHEREHE ZA EID EL FITR DMV…!
Kushoto ni Balozi Mustafa Nyang”anyi akijumuika kwenye sherehe ya Eid El Fitr na Watanzania DMV. Balozi Mustafa Nyang”anyi akifuatilia sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika Sliver Spring, Maryland siku ya Jumapili June 25, 2017, kulia ni Seif Ameir. Watanzania DMV wakijumuika pamoja katika sherehe ya Eid El Fitr iliyofanyika Silver Spring, Maryland siku ya Jumapili June 25, 2017. …
Asasi ya Marafiki Charity Tanzania Wafuturisha Watoto Yatima Dar
ASASI isiyo ya Kiserikali ya Marafiki Charity Tanzania ‘Marafiki Charity’, kwa umoja wao jioni ya jana Juni 24. 2017, wameweza kujumuika kwa pamoja katika tukio maalum la kufuturisha katika kituo cha kulea watoto Yatima cha CHAKUWAMA. Marafiki hao waliweza kuandaa futari hiyo maalum na kwenda kujuika pamoja na watoto wanaolelewa kwenye kituo hicho cha CHAKUWAMA, chenye makazi yake Sinza-Mori (CHAKUWAMA). Aidha wakitoa …
Mkakati Kukabiliana na Changamoto Matumizi Bora ya Ardhi Wakamilika
Mkurugenzi msaidizi nyanda za malisho kutoka wizara ya kilimo na Mifugo Bw. Victor Mwita (Kulia) ambaye alikuwa mwenyekiti wakati wa shughuli hiyo, akitoa mwongozo wa baadhi ya mambo. Baadhi ya watumishi Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUP) wakiwa wanafuatilia kwa makini majadiliano hayo wakiwa mkoani Morogoro. Mmoja wa wajumbe wa kikosi kazi hicho akichangia jambo wakati …
Kampuni ya Halotel Yatoa Mkono wa Eid kwa Vituo 10 vya Yatima Dar
KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Halotel imetoa msaada wa vyakula, mbuzi na mafuta ya kupikia kwa vituo 10 vya Watoto Yatima na wanaoishi katika mazingira magumu jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mkono wa Siku Kuu ya Eid Mubarak itakayoanza kusherehekewa kesho na waumini wa Kiislamu. Akikabidhi zawadi hizo Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa …
SHEAKH MKUU TANZANIA, BIN ZUBERY ASHIRIKI FUTARI YA BENKI YA AZANIA MOSHI
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakichukua Chakula wakati wa hafla fupi ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Azania na kufanyika ofisi za Bakwata mkoa wa Kilimanjaro. Sheakh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakary Zubery akiwa na Kaimu Mkurugenzi idara ya maendeleo ya Biashara wa Benki ya Azania, Jackson Lohay katika hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo. Baadhi ya …