KAMPUNI YA TTCL YAWAKUMBUKA WAHITAJI

      KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL imetoa msaada wa Vyakula, Vinywaji na mahitaji mengine ya nyumbani ili kuwawezesha Watoto katika Vituo vya Yatima na Waishio katika Mazingira magumu kusherehekea Siku kuu ya Eid. Akikabidhi msaada huo kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Meneja Uhusiano wa TTCL Ndg Nicodemus Thom Mushi amesema, TTCL inathamini sana makundi yenye …

Rais Magufuli Aivunja ‘Big Results Now’ Wafanyakazi Wahamishwa…!

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Juni, 2017 ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (President’s Delivery Bureau – PDB) ambao wamehamishiwa katika ofisi na taasisi nyingine za Serikali kwa ajili ya kuendelea na utumishi wa umma. Wafanyakazi hawa ndio walikuwa wakisimamia utekelezaji wa …

BENKI YA NMB YAFANIKISHA KUFANYIKA ‘KIDS CIRCUS CARNIVAL’

      BENKI ya NMB Tanzania jana iliungana na Watanzania nchini kusherehekea Siku Kuu ya Eid El Fitr kwa kuwa mmoja wa makampuni wadhamini wa tamasha lililoandaliwa na kampuni ya Azam la Kids Circus Carnival ambalo limehusisha watu wa aina mbalimbali kuanzia watoto na hata watu wazima kufurahi kwa pamoja. Tamasha hilo ambalo linafanyika kwa siku mbili mfululizo yaani …

WANAWAKE WACHEZA SOKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

  Kundi la Wanamichezo 60 wakiwemo wachezaji 30 wa timu za taifa za wanawake kutoka mataifa zaidi ya 20 walioshiriki kuweka rekodi ya kucheza soka katika eneo la kreta lililopo katika kilele cha Uhuru. Baadhi ya wachezaji walioshiriki mchezo wa soka katika Kilele cha uhuru, Mlima Kilimanjaro. Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) Betrta Loibook akiwa …

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA IDD EL FITRI MJINI MOSHI

  Waziri Mkuu wa Tanzania,Kassim Majaliwa akiwasili katika msikiti wa Riadha mjini Moshi kwa ajili ya Swala ya Eid el Fitri iliyofanyika kitaifa mjini Moshi. Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika Msikiti wa Riadha mjini Moshi. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa aikishiriki Swala ya Idd el Fitri iliyofanyika kitaifa katika msikiti wa Riadha mjini Moshi. Baadhi ya waumini …