WASHIRIKI SHINDANO LA BONGO STYLE WAPEWA SEMINA…!

  Bi. Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa  ‘Bongo Style Competition’  2017, kuhusiana na asasi ya FASDO Mwezeshaji Bw. Erick Chrispin akitoa semina kwa washiriki wa Bongo Style namna ya kujiongoza wenyewe katika maswala ya Fedha, Muda na uongozi. Baadhi ya Washiriki wa Bongo Style Competition 2017 wakiwa …

Malori 103 yashikiliwa Njia Panda Himo Yakisafirisha Mahindi kwenda Kenya

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akiwa ameongozana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro wakiwemo Kamanda wa Polisi, Hamis Issah na Mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi Warioba wakitembelea maeneo ambayo yameshikiliwa magari yaliyobeba shehena ya Mahindi. Baadhi ya Wafanyabiashara ambao Mahindi yao yanashikiliwa katika eneo la Njia Panda mkoani Kilimanjaro …

Tamasha la 20, ZIFF Kutoka Kivingine

  UONGOZI na waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF) umewaomba wadau wa tasnia ya filamu na sanaa nchini kushiriki katika Tamasha la 20 la mwaka huu kwani limekuja kivingine na kunafursa nyingi ambazo wanaweza kuzitumia katika kukuza tasmia hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa ZIFF Daniel Nyalusi ameeleza kuwa kwa mwaka huu …

Wawakilishi Pemba Watakiwa Kuwekeza Katika Elimu

  Na Is-haka Omar, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka Wabunge na Wawakilishi wa Pemba kuwekeza katika sekta ya elimu ili kuwasaidia vijana wanaosoma kwenye shule na vyuo vya elimu ya juu vilivyopo katika kisiwa hicho. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdulla Juma Saadalla “Mabodi” katika mwendelezo wa ziara yake Pemba wakati akikagua …

Asasi za Kiraia Zatetea Msichana Mjamzito Kurejea Shuleni

      ASASI za Kiraia nchini zimeibuka kupaza sauti zikipingana na kauli aliyoitoa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ya kwamba wanafunzi watakaopata ujauzito shuleni wasiruhusiwe kurejea shuleni mara baada ya kujifungua. Katika tamko lao la pamoja lililoshirikisha asasi 25 za kiraia zinazofanya kazi nchini limeitaka serikali kuridhia mchakato wa kumruhusu mwanafunzi atakayepata ujauzito kurejea masomoni mara baada …

Wadau wa Habari, Serikali Wazungumza Namna ya Kushirikiana

  Wadau wa Habari nchini wakiongozwa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania kwa kushirikiana na Wakfu wa Taasisi Huru za Uwazi Afrika (OSIEA) wamefanya semina ya siku moja kwa lengo la kuboresha mahusiano ya utendaji wa kazi iliyoshirikisha Serikali na wadau wa habari nchini.   Semina hiyo pia ilihudhuriwa na maafisa wa Serikali …