Tanzania’s first elected albino member of parliament fears his life could be in danger in the east African country where albino hunters kill their victims and use their blood and body parts for witchcraft.
Tanzania earned $4.7 bln from mining in 5 yrs
* Gold exports earned it $1.076 bln in 2009 * Tanzania implements new mining law DAR ES SALAAM, Nov 18 – Tanzania earned $4.7 billion from mining in the past five years and seeks to boost its income from the sector through state ownership of future mining projects, President Jakaya Kikwete said on Thursday.
Ruksa Kutumia Kondom: Papa Benedict
Kiongozi wa kanisa Katoliki Dunia Papa Benedict amesema matumizi ya mipira ya kiume inaweza kuhalalishwa kutokana na hali ilivyo, ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya HIV/UKIMWI. Matamshi hayo yanayotarajiwa kuchapishwa katika kitabu wiki ijayo, yanaashiria kulegeza msimamo wake mkali wa zamani dhidi ya matumizi wa kondomu kupambana na HIV. Vatikana kwa muda mrefu imekuwa ikipinga matumizi ya kondomu, …
Tanzania to Establish Own Global Bar Codes
TANZANIA will establish its own global standard one (GS1) bar codes that identify items in the supply chain, ending Kenya dependency for the codes by next June. Dar es Salaam, currently is buying the bar code numbers from Nairobi, which is an expensive and unnecessary undertaking. Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) EMPRETEC’s Co-ordinator, Mr Hans Mtika told the ‘Daily News’ …
Ajali feri upande wa kigamboni
Hii ndio ajali ilyotokea asubuhi hii upande wa Kigamboni ambapo gari aina ya Toyota Hilux pick up linalo tumika kusambaza nyama katika maduka ya nyama ya Kigamboni limepata ajali ya kuzama baharini baada ya kile kinachosemekana kujaribu kuwahi kuingia katika Pantoni bila mafanikio. Habari zizizo rasmi zinasema dereva wa gari amekufa na msaidizi wake amenusurika, na kwamba mwili wa marehemu …
Bank of India…!
Taasisi za fedha za kigeni zinazidi kumiminika Bongo. Hii ni Banki ya India ‘Bank of India’ iliyopo Barabara ya Maktaba jijini Dar.