Tanzania yafanya vizuri katika Uwekezaji

TANZANIA imeelezewa kufanya vizuri katika sekta ya uwekezaji kwa kuwa na uwiano wa zaidi ya asilimia 30 katika ukuaji wa pato la ndani (GDP) katika kipindi cha mwaka 2008 licha ya dunia kukabiliwa na mdororo wa kiuchumi ukilinganisha na asilimia 23 ya nchi zinazoendelea (LCD) Hayo yalisemwa leo na Mshauri wa Masuala ya Uchumi wa Shirika la Maendeleo la Umoja …