CHADEMA YALIA NA JESHI LA POLISI

Binadamu wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu (MB), akizungumza na wanahabari Jumapili Nov 28, 2010 katika ofisi za Makao Makuu za chama chake Kinondoni jijini Dar es salaam. Alikuwa akizungumzia hatua ya polisi kupiga marufuku mikutano yao nchi nzima.

OFF SIDE KUZINDULIWA CONGO DRC

Filamu ambayo inasubiriwa kwa hamu kuingia katika soko la filamu Tanzania, ikiwa inaigizwa na wasanii mashuhuri wa hapa nchini Steven Kanumba, Vicent Kigosi na Irene Uwoya itazinduliwa kwa mara ya kwanza Congo. Ikiwa inasambazwa na Steps Entertainment, hii inaonekana kwamba wasamabzaji hawa wanajribu kupanua soko kwa kuweza kushirikisha wadau wengi katika filamu. Kuvuka mipaka ni hatua kubwa katika Tasnia ya …

Harvard scientists reverse the ageing process in mice – now for humans

Harvard scientists were surprised that they saw a dramatic reversal, not just a slowing down, of the ageing in mice. Now they believe they might be able to regenerate human organs Scientists claim to be a step closer to reversing the ageing process after rejuvenating worn out organs in elderly mice. The experimental treatment developed by researchers at Harvard Medical …