Black Friday

Ijumaa Nyeusi (Black Friday) ni siku ambayo vitu vinauzwa kwa bei  ya chini sana, Maduka huwa yanafunguliwa kuanzia saa 10 usiku . Angalia jinsi watu wanavyogombania bei rahisi.

ISSA MICHUZI AWAPA SOMO LA KUANZISHA BLOGS WASANII

Ankal Michuzi (Issa Michuzi) ambaye ni mmoja wa waasisi wa mitandao ya habari ya jamii (blogs) hapa nchini amewashauri wadau wa sanaa hasa wasanii kuanza kuingia kwa kasi kwenye matumizi ya teknolojia hiyo kwani ni njia kubwa ya kujitangaza na kuuza kazi za sanaa kote duniani. Akizungumza kwenye Jukwaa la Sanaa leo Jumatatu,Michuzi ambaye blog yake ya www.issamichuzi.blogspot.com imepata umaarufu …

Magufuli spits fire as he reports at ministry

The minister for Works, Dr John Magufuli, yesterday warned his ministry’s top lieutenants that he will have no mercy on those who are corrupt and hypocrites. With his no-nonsense deputy minister, Dr Harrison Mwakyembe, at his side, Dr Magufuli mentioned a number of areas that he said called for immediate attention. He was officially starting work by meeting the officials …