Finger length predicts prostate cancer risk: study

PARIS (AFP) – – Men whose index fingers are longer than their ring, or fourth, fingers run a significantly lower risk of prostate cancer, according to a study published Wednesday in the British Journal of Cancer. The chances of developing the disease drop by a third, and even more in younger men, the study found. “Our results show that relative …

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA BENKI YA TIB

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi makao makuu ya Benki ya Rasilimali (TIB), Tawi la benki hiyo lililopo hapo mlimani City Jijini Dar es salaam hukubenki hiyo ikisherehekea miaka 40 tangu kuanzishwa kwa benki hiyo. Rais Jakaya Kikwete pia ameizindua benki hiyo kuwa benki ya Maendeleo ili kusaidia katika kusukuma maendeleo ya wananchi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Tanzania Super model Flavia Matata.

Tanzania Super model Flavia Matata was in London to model at an event where the former British Prime minister Rt Hion Gordon Brown was the guest of honor

Sugu apigwa ‘stop’ Mbeya

MBUNGE kijana kutoka Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ amepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kufanya mikutano ya hadhara kutokana na sababu zilizotajwa kuwa ni za kiitelejensia.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA KOREA KUSINI.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini, Bw. Kim Jae-Shin na Balozi wa Korea ya Kusini Nchini, Bw. Young Hoon Kim kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam Novemba 30, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)