HAPPY BIRTHDAY TANZANIA: 49 YEARS OLD!!

NA MAGRETH KINABO- MAELEZO RAIS Jakaya Kikwete leo aliuongoza umati wa Watanzania katika sherehe za miaka 49 ya Uhuru wa Tanzania Bara, ambapo alikuwa ni miongoni mwa watu walioshangiliwa katika sherehe hizo. Ushangiliaji huo, ulionekana wakati Rais Kikwete alipoingia katika Uwanja wa Uhuru , alipokuwa akisalimia wananchi akiwa anazunguka uwajani hapo.

GARI LA AINA YAKE MITAA YA JIJINI DAR LEO

Abiria wa kigeni wakiwa ndani ya gari lenye mfano wa ghorofa katika foleni ya magari kwenye mataa ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Gari hilo lililkuwa kivutio kwa kila mpitanjia kwa jinsi lilivyo na abiria waliokuwamo ndani yake.

Zitto kwenye wakati mgumu

KADRI siku zinavyozidi kusogea mbunge wa Kigoma Kaskazini [CHADEMa] Kabwe Zitto yuko kwenye wimbi la wasiwasi la kuuliwa kutokana na kupata ujumbe mfupi wa maneno wa simu ulioashiria kutishiwa uhai wake.

Govt – Aviation Plan Will Be Global Envy

Dar es Salaam — Civil aviation operations in the country will, in the next 25 years, be one of the best in the world and would prompt other countries to learn from Tanzania. This is after the implementation of the 25-year Civil Aviation Master Plan to be unveiled by the ministry of transport shortly. After the implementation, it was revealed, …

Transfoma ya Chalinze yahamishiwa Dar kupunguza makali ya mgao

KUTOKANA na mgao wa umeme unaoendelea hivi sasa, Wizara ya nishati imechukua uamuzi wa kuhamisha transifoma kutoka Chalinze ili ije itumike jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupunguza makali ya mgao wa umeme. Tayari wizara hiyo imeshaagiza wakandarasi wa shirika la umeme kuhamisha transfoma hiyo ije jijini Dar es Salaam ifungwe katika kituo cha Kipawa na iwashwe kwa madhumuni …

Govt Meets Donors as Budget Deficit Widens

Dar Es Salaam — Tanzania and its major donors meet for three days in Dar es Salaam starting today to assess the effectiveness of aid given directly to the government amid concerns of the authorities about difficulties encountered in financing the current budget.