MABOMU GONGO LA MBOTO: WATU 200 WAJERUHIWA,20 WAPOTEZA MAISHA

Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa tarehe 16 mida ya saa mbili na dakika ishirini ulianza kusika milio ya mabomu kutoka katika gara la siraha lililopo katika kambi ya jeshi ya gongo la mboto,aidha yapata zaidi ya watu 20 kupoza maisha ikiwa zaidi ya watu 200 wamejeruhiwa na mabumu na wengine wameumia wakati wakijinusur na mkasa huo.

RAIS KIKWETE AKAGUA SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO KIBAIGWA, DODOMA LEO

Rais Jakaya Kikwete akikagua mahindi yanayouzwa katika soko la kimataifa la mazao la Kibaigwa wilayani Kongwa, mkoa wa Dodoma leo asubuhi wakati aliposimama kwa muda sokoni hapo kukagua na kujionea hali halisi ya upatikanaji wa mazao na uhifadhi wa mazao sokoni hapo

Mbowe says Chadema to cooperate with opposition MPs

The leader of the Opposition camp in parliament, Freeman Mbowe, told the House yesterday that Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) was ready to work with all legislators from other political parties, stressing that there was no need to engage in quarrels. Mbowe, who is also Chadema national chairman and MP for Hai, gave the pledge when debating the November …