PAMOJA NA TUHUMA ZA KUCHAKACHUA,MUSEVENI ATANGAZWA MSHINDI!

Tangazo rasmi limetolewa kuthibitisha kuwa Rais Museveni wa Uganda ndiye mshindi katika uchaguzi uliofanyika Ijumaa nchini humo. Tume ya uchaguzi ilitangaza kuwa Yoweri Museveni alishinda kwa asilimia 68, katika uchaguzi huo uliofanyika siku ya Ijumaa.

Rais Obama akutana na mastaa wa Silicon Valley

The White House has just posted several photos from President Obama’s dinner with a number of Silicon Valley’s technology CEOs and leaders yesterday evening. As you can see from the photos, the star studded invitee list included Facebook CEO Mark Zuckerberg, Apple CEO Steve Jobs, Yahoo CEO Carol Bartz, Cisco’s CEO John Chambers, Twitter CEO Dick Costolo, Oracle CEO Larry …

Libya Follows Egypt’s Lead, Starts Shutting Off Internet Services

Both the BBC and Yahoo News are reporting that Muammar Gaddafi’s government in Libya has begun to block user access Facebook in the country’s capital of Tripoli and is sporadically shutting down electricity access and access to Internet connections in the rest of the country as a response to anti-govermental protests. Al Jazeera is also reporting access to its Aljazeera.net …

UUNGWANA NI VITENDO: VODACOM YAFARIJI WAHANGA WA MABOMU!

 Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Foundation Bi Mwamvita Makamba pamoja na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakishusha na kuwakabidhi vyakula mbalimbali wafanyakazi wa Red Cross waliopo katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kutoa huduma kwa waathirika wa janga la milipuko ya mabomu huko Gongo la Mboto jijini Dar. Picha na habari kwa hisani ya Michuziblog

BOMU LA CHADEMA KWA PINDA HADHARANI.

SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Hiyo inatokana na taarifa ya kuwa kauli ya Waziri Mkuu Pinda ya wiki iliyopita iliyokituhumu CHADEMA kuhusika na vurugu hizo zilizoishia katika mauaji ya watu watatu, ilitokana na maoni ya Polisi ambao katika matukio hayo wao ni …