Wabunge wa Tanzania wanajipendelea-DOVUTWA

Na Mafikiri Ernest Dar es Salaam CHAMA cha UPDP kimehoji uhalali wa kila mbunge kulipwa Sh 90 milioni kama mkopo kuwawezesha kununua magari binafsi ya shughuli za kibunge huku wafanyakazi wa kada nyingine za kitaalamu zaidi wakisahaulika katika mpango kama huo. Katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari jana, Mwenyekiti wa taifa wa UPDP Fahmi Nassoro Dovutwa amesema uamuzi …

World Bank proposes road to save Serengeti migration

(Reuters) – The World Bank has offered Tanzania an alternative to stop a major road project across the Serengeti national park that conservationists say threatens one of Africa’s biggest wildlife spectacles. Conservation groups say the government’s planned highway through the northern edge of the Serengeti would hinder the annual migration of some 2 million wildebeest. The World Bank’s John Murray …

UKATILI DHIDI YA BINADAMU!

Mwendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (International court of criminal- ICC, the Hagu, Netherlands) bwana Luis Moreno-Ocampo, amesema kiongozi wa Libya Gaddafi pamoja na viongozi kadhaa waandamizi, watachunguzwa kwa kosa la mashambulizi ya watu waliokuwa

JE ALIYELALA AAMSHWE?

Huyu si mwingine bali ni waziri mwenye dhamana ya kuiongoza wizara ya nishati madini mheshimiwa sana bwana William Ngeleje, waziri ambaye wizara yake imekuwa ikilalamikiwa kwa ufisadi na utata katika mikataba feki , pembeni kabisa mwa bosi wake na mkuu wa nchi, tena kwenye mkutano wa kimataifa, jionee mwenyewe jinsi anavyouchapa usingizi bila hata kuwa na shaka na wasi, kwa …

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOMAINDO-MASASI.

Watendaji wakuu wa halmashauri za wilaya wametakiwa kushirikiana ili kuboresha na kuimarisha huduma za afya nchini. Wito huo umetolewa jana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda alipofanya ziara ya kikazi katika wilaya ya masasi. Dkt. Mponda alisema ili huduma za afya ziimarike ni vyema watendaji hao kushirikiana kwa pamoja na bodi ya afya za halmashauri …

SIRI ZA ANAYEJIDAI KUMILIKI DOWANS

-Ni Mzanzibari aliyetorokea Uarabuni -Ana mahekalu jirani na vigogo Zanzibar  -Kuna utata kuhusu deni la Bil.100/- na rehani ya mitambo  WAKATI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likielezwa kuanza kuwasha mitambo ya Dowans, mmiliki wa kampuni hiyo aliyezua utata, Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi, ni Mzanzibari aliyeukana uraia wake baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, Raia Mwema limeelezwa.  Habari …