Alcoholic drinks market booming in Muslim Gulf

By Praveen Menon – Thu Mar 10, 5:03 am ET DUBAI (Reuters Life!) – The duty-free shop at Dubai’s glitzy international airport brims with travelers choosing from row upon row of carefully stacked wine, champagne and whisky. The lavish display highlights a push by major alcoholic drinks-makers into the Gulf Arab region, lured by a vast youth population and large …

Dawa ya maajabu yazidi kuvuta wengi Loliondo

Na Mwandishi Wetu, Loliondo MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ambilike Mwasapile amesema licha ya umati wa watu kuendelea kufurika nyumbani kwake ataendelea kutoa dawa hiyo kwa wagonjwa kadri wanavyokuja. Hadi jana takribani watu zaidi ya 3,000 walikuwa wakiendelea kufurika nyumbani kwa mzee huyo anayedaiwa kuwa na dawa aliyooteshwa na Mungu ambayo inatibu magonjwa matano sugu kwa …

Vigogo wasababisha vurugu Loliondo

08 March 2011 Arusha WATU wanaodaiwa kuwa ni vigogo wa Serikali wamesababisha vurugu kubwa katika Kijiji cha Samunge, Tarafa ya Sale, Loliondo kunakotolewa tiba ya magonjwa ya sugu na Mchungaji Mstaafu, Ambilikile Mwasapile baada ya kuvuruga utaratibu wa foleni kabla ya kupata huduma hiyo. Vurugu hizo zilianza pale kundi la watu lilipobaini kuwa vyombo vya dola, askari polisi na wanamgambo …

Tanesco wadaiwa tena mamilioni Kenya

Na Mwandishi Wetu Namanga  LICHA ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutakiwa kulipa deni la sh. bilioni 94 kwa kampuni ya Dowans ambazo bado zimeleta utata, imebainika kuwa shirika hilo pia linadaiwa sh. milioni 175 na Shirika la Umeme nchini Kenya (KPLC). Shirika hilo la kusambaza umeme Kenya, limekuwa likitoa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo yaliyo …