Simba wafuata tiba Loliondo

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TIMU ya Simba imemua kuweka kambi ya muda huko Loliondo mkoani Arusha ili kusaka tiba ya kuiangamiza timu ya TP Mazembe. Simba inatarajia kukutana na TP Mazembe mabingwa wa Afrika mara mbili mwishoni mwa mwezi huu huo ukiwa ni mchezo wa awali wa Klabu Bingwa Afrika. Akizungumza na Mtanzania, Katibu Mkuu wa timu hiyo, …

Mtanzania Flaviana Matata atwaa tuzo ya mwaka

Flaviana Matata, Mtanzania ambaye amekuwa akitengeneza vichwa vya habari katika majariba mbalimbali ya masuala ya ubunifu duniani, ameendelea kuing’arisha Tanzania katika masuala ya mitindo baada ya kutwaa tuzo ya Mwanamitindo bora wa mwaka huko nchini Nigeria. Tuzo hizo zilizotolewa na jarida maarufu la mitindo la Arize Magazine la nchini Nigeria, zilishuhusia Klûk CGDT, akitwaa tuzo ya mbunifu bora wa mwaka, …

Jens Lehmann In Talks To Sign Short-Term Contract At Arsenal By Weekend

German goalkeeper is training with Gunners to prove fitness to Wenger Jens Lehmann is set to come out of retirement and return to Arsenal on a short-term contract if he can prove his fitness to Arsene Wenger. Lehmann, 41, is in talks with the Premier League club about a shock return three years after leaving Arsenal and hopes to be …

VOICE FOR DEMOCRACY AND HUMAN RIGHTS CENTRE KUKUSANYA MAONI YA KATIBA MPYA TANZANIA.

Rais wa Taasisi ya Voice For Democracy And Human Rights Centre nchini Bw. Hashim Rungwe akiongea na waandishi wa habari jijini leo kuhusu taasisi yake itakavyotoa elimu pamoja na kukusanya maoni ya wananchi Tanzania kuhusu mchakato wa marekebisho ya katiba ya Tanzania. (Mwengine) ni katibu mkuu wa Voice For Democracy And Human Rights Centre Mwl. Richard Mfune. Picha na habari …