Snow slowly building on Mount Kilimanjaro

TANZANIA, Africa (eTN) – Standing as the highest mountain in Africa, Mount Kilimanjaro is slowly regaining its snow after several years of drought in East Africa and the effects of climate change in African continent. The snow is slowly mounting on the top point of the mountain, giving new hopes to Mount Kilimanjaro environmental watchdogs and tourists that the mountain …

TUNYWE VIKOMBE BILA KUPOTEZA MWELEKEO!

      Ni siku chache tu zimepita toka nimsikie Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndugu James Mbatia akielezea hofu na masikitiko yake juu ya hili suala ninaloita kupoteza muelekeo! Mbatia alikuwa analizungumzia suala la Loliondo kwa ‘Babu’ lilivyoshika kasi mpaka kutishia utowekaji wa hoja nyingine za msingi kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu. Nasema hoja ‘nyingine za msingi’ kwasababu si kwamba napinga …

Watanzania:Eleweni anachokifanya Mchungaji Ambilikile Masapile

*Asema dawa anayotoa si kinga, ni dawa ya kuponya *Asisitiza mtu akinywa dawa akapime afya baada ya siku 7 Na Masyaga Matinyi,Loliondo KINACHOENDELEA kutokea kijijini Samunge, Loliondo mkoani Arusha si vibaya tukakiita “MUUJIZA WA KARNE,” kwa sababu ni tukio ambalo halijawahi kushuhudiwa Tanzania. Tofauti na matukio mengine makubwa ambayo yamewahi kutokea katika Taifa letu yakiwamo Uhuru mwaka 1961 na kifo …

Waziri Maige ajitosa kwenye madini

Na Joachim Mushi WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amejitosa kwenye mgogoro wa uchimbaji madini hapa nchini huku akiapa kupambana na kampuni ya African Barrick Gold, ambayo ni mwekezaji mkubwa kuliko wote hapa Tanzania. Katika hali ya kutatanisha, Maige ametaka Serikali kuipokonya kampuni ya Barrick leseni ya madini kwenye wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, na badala yake ipewe kikundi …

SUMAYE APATA KIKOMBE!

  *Aliambatana na mkewe, mama mzazi kwenda kwa Babu *Ataka Mchungaji asaidiwe, Jenerali Msuguri naye abugia *Wazungu waminika, wajanja waanza kuiba teknolojia yake *Daktari asema imeponya ukimwi, dawa yaisha kwa muda Na Timu ya Mtanzania, Samunge WAZIRI Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye na Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali David Musuguri ni miongoni mwa malefu ya watu waliofika katika Kijiji cha …