Abiria wa safari za mikoani wasota Ubungo

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mai Mosi) Dar es Salaam yameingia dosari baada ya madereva wa mabasi yaendayo mikoani kugoma kwa saa nane kabla ya kuendelea na safari zao, hali iliyozua kero kubwa kwa abiria waliokuwa wakielekea sehemu anuai mikoani na nje ya nchi. Madereva hao jana katika Kituo Kikuu cha Mabasi ya …

BREAKING NEWZZZ, Madereva Ubungo wagoma

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Taarifa zilizotufikia asubuhi hii ni kwamba madereva wa mabasi ya kutoka Dar es Salaam kuelekea mikoani wamegoma kufanya safari zao na hadi sasa hakuna basi lolote lililoondoka kutoka kituo kikuu cha mabasi hayo cha Ubungo. Kwa mujibu wa abiria mmoja ambaye ni msafiri ameiarifa dev.kisakuzi.com kuwa miongoni mwa mambo ambayo madereva hao wanadai ni …

Jenerali Patraeus kuongoza CIA

RAIS wa Marekani Barack Obama juzi amemteua Jenerali David Petraeus, kamanda wa majeshi ya kigeni nchini Afghanistan kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA). Obama amechukua hatua hiyo huku akijiandaa kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri kabla ya uchaguzi mkuu wa rais mwaka 2012. Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa mkurugenzi wa CIA, Leon Panetta anatarajiwa kuwa waziri …

RUBADA yawekeza katika umeme

MAMLAKA ya Uendeshaji wa Bonde la Mto wa Rufiji (RUBADA) jana ilitia saini mkataba wa uzalishaji wa umeme na Kampuni ya Sinohydro ya nchini China kwa ajili ya kuzalisha umeme katika eneo la Mpanga, lililopo ndani ya Bonde la Kilombero. Akizungumza katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa RUBADA, Aloyce Masanja, alisema mradi huo utaanza hivi …

Vijiji 150 vyakumbwa na njaa Nzega

Na Mwandishi Wetu Nzega WAKAZI wa wilaya ya Nzega pamoja na vitongoji vyake vimekumbwa na gharika kubwa la njaa, baada ya mvua za masika kutonyesha kikawaida. Kutokana na hali hiyo sehemu mbalimbali za wilayani hapa zimekumbwa na ukame uliyosababisha njaa kwa wakazi wa vijiji anuai. Wilaya ya Nzega ndiyo iliyoathirika zaidi kwani takribani vijiji 150 vimekumbwa na njaa na sasa …

IMF reveals: End of USA dominance sooner than later

  By Brett Arends THE International Monetary Fund (IMF) has just dropped a bombshell, and nobody noticed. For the first time, the international organization has set a date for the moment when the “Age of America” will end and the US economy will be overtaken by that of China. Surprisingly, it’s a lot closer than one may think. According to …