Salma Kikwete ataka mchezo wa bao uende shuleni

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na mlezi wa Shirikisho la Mchezo wa Jadi wa Bao, Mama Salma Kikwete (kushoto) akicheza bao na Rais wa mchezo huo baada ya hafla fupi ya kukabidhiwa bao hilo iliyofanyika jijini Dar eS salaam. Picha na mdau Mwankombo Jumaa-MAELEZO.

Barmingham City ya Uingereza kuja Tanzania

Kocha Msaidizi wa Timu ya Barmingham City, kutoka nchini Uingereza inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini humo, Andy Watson (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini leo kuhusu maandalizi ya ziara ya ujio wa timu hiyo nchini Tanzania mwezi Julai. Kocha huyo amefika nchini kwa ajili ya maandalizi na kukagua mazingira ya viwanja, Hoteli pamoja na miundombinu, ambavyo wameridhika navyo.Timu hiyo …

Mume amchinja mkewe kama ‘kuku’

Na Said Mwishehe Dodoma MWANAUME aliyefahamika kwa jina la Lucas Makomela (55) amefanya mauji ya kutisha baada ya kumchinja mkewe, Josephina Tatu (42) kisha naye kuamua kujinyonga. Akizungumzia tukio hilo jana, mjini hapa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Zolothe Stephen alisema tukio hilo la mauji limetokea usiku wa kumkia jana katika kijiji cha Nala. Alisema Makomela ambaye ni mkulima …

Museveni aapishwa kuwa Rais wa Uganda tena

Rais Yoweri Kaguta Museveni akila kiapo cha urais katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda jana huku mkewe Mama Janeth Museveni akishuhudiaRais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais mstaafu wa Kenya Mzee Daniel arap Moi wakati wa Sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda.

Picha za Makamu wa Rais Dr. Bilal katika shughuli mbalimbali

Makamu wa Rais Dr. Bilal akifanya mazungumzo na waziri wa Uingereza wa Masuala ya Kimataifa Stephen Obrien. Dr. Bilal akifanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la ‘UN Women’ Ms. Michelle Bachelet. Bila shaka wamezungumza masuala ya mbolea kwa ajili ya mamendeleo ya wanawake na Tanzania kwa ujumla. Dr. Bilal akionyeshwa gazeti la Uturuki, ambalo limechapisha habari kuhusu Mbuga ya …

JK akiwasili nchini Uganda

Rais Jakaya Kikwete amewasili nchini Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni zinazofanyika Uganda leo. Museveni anaapishwa baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Februari mwaka huu na kumshinda mpinzani wake mkuu Kizza Besigye. Pichani juu ni Rais Jakaya Kikwete akipokelewa kwa maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe …