Nape amjibu Mpendazoe kuhusu waanzilishi wa CCJ

Na Edson Kamukara KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, Nape Mnauye, ameendelea kukanusha madai ya kuhusika na uasisi wa Chama Cha Jamii (CCJ), akisema anayetaka kuwajua waasisi, aende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa. “Iko Mamlaka ya kuelezea nani ni nani katika kila chama cha siasa hapa nchini na anayetaka kuwajua waasisi wa CCJ …

Tawi la Wizara ya Habari

Mkt-Mwenyekiti mpya wa Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa TUGHE Dkt Magreth Mtaki (kulia) akiwashukuru wafanyakazi wa Wizara hiyo kwa kumchagua kuwa Mwenyekiti wao jana jijini dar es salam kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Wengine ni msimamizi wa uchaguzi huo ambaye pia nia Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dar es salaam Rose Lamosai(katikati) na Afisa …

Ishengoma ameremeta!

Edson Ishengoma na mkewe Jovina John wakipiga picha ya ukumbusho na mama mzazi wa bwana harusi, Geraldina Ishengoma (wa kwanza kulia) muda mfupi baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa Katoliki Tegeta jijini Dar es Salaam Mai 14. Waliosimama mbele ni wapambe wa harusi hiyo. Wapambe wa maharusi wakisafisha njia kuingia ukumbini kabla ya kuingia maharusi, Edson na Jovina. Edson …

TAARIFA KWA UMMA

Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amesema kuwa amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa kikundi cha maigizo na filamu cha Jakaya Theatre Arts. Mnyika aliyasema hayo jana (15/05) alipotembelea nyumbani kwa familia ya marehemu katika kata ya Ubungo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuwasilisha rambirambi. Akizungumza na mbunge, Chediel Senzighe ambaye ni kaka wa marehemu …

Dk Shein amzika msanii Maulid Mohammed ‘Machaprala”

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki na waumini wengine wa dini ya Kiislamu kusalia Jeneza la marehemu msanii Maulid Mohammed ‘Machaprala’, katika msikiti Nambar, Kisiwandui Mjini Zanzibar. (Picha na mdau Ramadhan Othman, Ikulu).