JPM AIPONGEZA TTCL SABASABA, YAIBUKA KIDEDEA SEKTA YA MAWASILIANO

      RAIS wao Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli, ameipongeza Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), kwa juhudi kubwa inazofanya katika kuwapatia Wananchi huduma bora za Mawasiliano. Rais Magufuli ametoa pongezi hizo baada ya kuitembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara …

TIGO KINARA WA MAWASILIANO MAONESHO YA 41 YA SABASABA

   Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam leo. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.    Tuzo ikipokelewa. Mkono wa pongezi ukitolewa toka kwa Mheshimiwa Rais Dk. Magufuli.

PROF MBARAWA ARIDHISHWA UJENZI WA JENGO LA 3 LA ABIRIA JNIA

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa jengo la Tatu la Abiria la uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), na kuelezea kuridhishwa kwake kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi huo Waziri Profesa Mbarawa amemhakikishia mkandarasi BAM International anayejenga jengo hilo kuwa Serikali italipa madai yake …

Wafanyakazi Mohammed Enterprises, MeTL Wachangia Damu

  Wafanyakazi wa kampuni ya Tanzania Match Industries Limited ambayo ni kampuni tanzu ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group) wamejitoa kusaidia maisha ya mamia ya Watanzania kwa kujitolea damu ambazo zitatumika katika hospitali mbalimbali nchini. Katika tukio hilo la kujitolea damu ambalo lilifanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo, wafanyakazi 40 walijitolea damu zao ambazo zitapelekwa kusaidia wagonjwa katika hospitalini …