KIJANA ATUMIA FARASI KUEPUKA BEI KALI ZA MAFUTA MAREKANI!

  Na Rungwe Jr. California, CA Juma hili Kamera ya dev.kisakuzi.com ilikuwa maeneo ya Lompoc, California, na kubahatika  kukutana na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Derek, akiwa na Farasi wake. Kama ilivyo ada, dev.kisakuzi.com ili amua kumuuliza maswali mawili matatu kufahamu kulikoni Farasi yupo kwenye maeneo mbayo ni maegesho ya Magari!? Kijana Derek alinifahamisha kuwa yupo maeneo hayo kumtembelea rafiki yake …

Bia tamu bwana, muone Rais Obama!

US President Barack Obama stepped into one of his ancestor’s local bars, Ollie Hayes’ bar in Moneygall Co. Offaly, where he was welcomed with a perfectly served Guinness. (Picha kwa hisani ya Full Shangwe Blog)

Mali ya Gaddafi yafichuliwa

HATIMAYE eneo kulikofichwa mamilioni ya dola mali ya serikali ya Libya, imebainika. Hii ni baada ya kufichuliwa kwa stakabadhi ya mamlaka ya uwekezaji nchini humo. Stakabadhi maalum ya mamlaka ya uwekezaji nchini Libya, ambayo imeonekana na shirika la kutetea haki za binadamu Global Witness, imeonyesha kwamba hapo mwishoni mwa mwezi Juni mwaka jana takriban dola milioni 293 fedha za umma …

African Views Announcements: -KOFI ANNAN FELLOWSHIP

The Kofi Annan Fellowship provides the opportunity for talented and motivated students from developing countries, who lack sufficient financial means, to study management at ESMT European School of Management and Technology, Berlin, Germany (www.esmt.org). Successful fellows will graduate with a prestigious MBA from the most international business school in Germany. The Fellowship seeks nominations for 2012 MBA Fellows for the …

Bin Hammam, Warner wachunguzwa kwa rushwa

SHIRIKISHO la Soka Ulimwenguni (FIFA) imeanza uchunguzi wa tuhuma za rushwa zinazozingira maafisa wake, akiwemo makamu wa rais Jack Warner na mgombea wa kiti cha urais wa Fifa Mohamed bin Hammam. Tuhuma hizo zilitolewa na mjumbe wa kamati kuu Chuck Blazer. Blazer amedai taratibu za maadili ya Fifa zilikiukwa katika mkutano unaoonekana uliandaliwa na Bin Hammam na Warner. Maafisa wengine …

TGNP sasa ‘kuichambua’ bajeti 2011/12

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO Mada: UCHAMBUZI WA MWONGOZO WA BAJETI 2011/12 Lini: Jumatano Tarehe 25 Mei, 2011 Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri MRAGHBISHI: TGNP MAHALI:Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo WOTE MNAKARIBISHWA