Mgogoro UVCCM Arusha, wenyeviti wilaya watoa tamko

Na Janeth Mushi, Arusha IKIWA zimepita siku chache tangu makundi mawili ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha kufanya maandamano yaliyokuwa na madai mbalimbali, wenyeviti wa umoja huo kutoka wilaya zote sita mkoani Arusha wamekutana na kutoa kauli nzito. Katika kauli ya viongozi hao, iliyotolewa jana mjini hapa kwa wanahabari, wamekanusha vikali baadhi ya madai …

Dk. Shein ataka ubakaji utafutiwe ufumbuzi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo la ubakaji ambalo limeonyesha kushika kasi mkoani humo. Dk. Shein aliyasema hayo jana katika ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja alipokuwa akifanya majumuisho ya ziara yake katika mkoa huo. Katika maelezo …

Zanzibar, jina kubwa!

Na Rungwe Jr. Watanzania tunazidi kufarijika tunapoona majina ya nchi zetu yanatumika maeneo haya ya ughaibuni, kwa watu kufanya biashara na kujikimu maisha yao. Pamoja na hayo ndugu zangu, hii ni changamoto kwetu wote! Kwani Club kama hii si ingekuwa poa sana kama

COPA COCA COLA DRAW

Dear Colleagues, Be informed that there will be a Copa Coca Cola draw on 31st day of May 2011 at 1130hrs at TFF Offices. Press conference will follow at 1200hrs. Your presence will be highly recognized. Best regards, Boniface Wambura Media Officer Tanzania Football Federation +255 71 3210242 +255 76 7310242

Muandishi Mmarekani akamatwa Tarime, ahukumiwa kifungo!

RAIA wa Marekani Joycelin Tembi Edward (27) aliyekamatwa wilayani Tarime katika vurugu zilizotokana na mauaji ya watu walioingia kwa kuvamia Mgodi wa North Mara Barrick amehukumiwa jela kutumikia kifungo cha mwaka mmoja. Mmarekani huyo ambaye ni Mwandishi wa Habari wa gazeti la Toronto Canada, alihukumuwa kutumikia kifungo cha mwaka au kulipa faini faini y ash. 50,000 kutokana na kubainika kuwa …