CCM Arusha maji mazito, hakijaeleweka

Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha MVUTANO baina ya Katibu wa CCM mkoani hapa Mary Chatanda (pichani chini) na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) umeingia sura mpya baada ya uongozi wa chama hicho mkoa kuamua kuitisha kikao maalumu cha Kamati ya Usalama na Maadili. Kikao hicho ambacho kilifanyika jana katika ofisi za CCM mkoani hapa kuanzia majira ya …

Taifa Stars yawasili Bangui kuikabili CAR

KIKOSI cha timu ya taifa ya mpira wa miguu Tanzania kimefika salama Bangui, tayari kwa mchezo wake na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) ikiwa ni mechi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (CAN) mwakani. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliyoituma jana, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bonifasi …

Dk Shein amaliza ziara Kusini Pemba

Na Rajab Mkasaba, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amemaliza ziara yake katika mikoa mitano ya Zanzibar na kueleza kuwa Serikali imeamua kuimarisha zao la karafuu ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya zao hilo ili kuwanufaisha wakulima. Dk. Shein ameyasema hayo leo katika Ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji, …

Mwajabu Juma aibuka Miss Kurasini

Miss Kurasini Mwajabu Juma akiwapungia mkono mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la Miss Kurasini lililofanyika jana kwenye Ukumbi wa Equator Gril Mtoni kwa Azizi Ali, jijini Dar es salaam, kushoto ni mshindi wa pili Naifat Ali na kulia ni mshindi wa tatu Priscar Steven. Shindano la Miss Tanzania mwaka huu linadhaminiwa na kampuni ya simu za …

Uzinduzi wa Serengeti Fiesta Dar es Salaam

  Tayari Serengeti Fiesta imeshazinduliwa katika mikoa minne ambapo uzinduzi huo umefanyika kwa pamoja katika mikoa ya Dar es salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha, mashabiki wote kaeni mkao wa kula, kwani wakati ratiba ya maonesho ya Serengeti Fiesta itakapoanza nenda kajionee mwenyewe na si kusimuliwa. Pichani vijana waliovalia fulana maalumu zilizoandikwa Serengeti Fiesta Miaka 10 wakicheza katika hafla ya uzinduzi huo …