Mbowe aachiwa huru, ulinzi mkali watawala

  Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha jana mjini hapa imemfutia hati ya kukamatwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe, hati iliyokuwa imetolewa na Mahakama hiyo. Mbele ya Hakimu Mfwidhi wa Mahakama hiyo, Charles Magessa Mahakama pia imemuondoa mdhamini wa Mwenyekiti huyo baada ya kushindwa kutokea mahakamani …

Tanzania: Internet Cafés Under Threat

Mobile Internet threats the survival of Internet cafe businesses in the country according to experts. To be able to survive they have been advised to change their business models or risk being swept out of the market. Available data shows that more Tanzanians are accessing the internet via mobile phones than through computers. According to the 2010 Digital Life report …

Ukimwi waua watu mil 30, idadi hiyo pia waishi na VVU

UMOJA wa Mataifa (UN) unaeleza kwamba tangu ugonjwa wa Ukimwi ugunduliwe mwaka 1981, unakadiria kuuwa watu milioni 30, huku idadi kama hiyo ikiwa ndio wanaoishi na virusi vya HIV. Hata hivyo ripoti ya hivi karibuni ya UN inaeleza licha ya kwamba idadi ya watu wanaoambukizwa Ukimwi kupungua kwa sasa katika nchi kadha, lakini bado mamilioni ya wagonjwa hawapati dawa stahili. …

Vigogo wanaotaka urais waivuruga CCM Arusha

Na Janeth Mushi, Thehabari, Arusha KAMATI  ya maadili na usalama  mkoa wa Arusha iliyoshirikisha wajumbe watatu kutoka makao makuu ya CCM na UVCCM  imeelezwa kuwa chanzo kikuu cha vurugu za vijana Arusha kuwa  ni mbio za kuwania urais mwaka 2015. Inadaiwa kuwa  katika kamati hiyo wanachama wa UVCCM mkoa wa Arusha wamebainisha wazi kuwa jumuia hiyo hivi sasa inatumiwa na …