Nyumba 23 za wafugaji zachomwa na wakulima

Na Mwandishi wa Thehabari, Sumbawanga MGOGORO baina ya wafugaji na wakulima umeibuka tena baada ya wakazi wa Kijiji cha Majalila wilayani Mpanda kuchoma moto nyumba 23 za wafugaji kwa madai mifugo yao imeharibu mazao katika mashamba ya wakulima. Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa tatu asubuhi katika Kijiji cha Majalila, baada ya wakazi hao wapatao 500 kuamua kuendesha msako …

Wabunge wa CCM waibana Serikali kuhusu umeme

Pichani Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza jambo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (Walemamvu) Mh. Al-Shaymaa Kwegyir mara baadaya kutoka kwenye kipindi cha maswali na majibu kwenye mkutano wa Nne wa Bunge la Bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012. Juni 8 ni siku ya kusomwa kwa Bajeti ya Serikali.   (Picha …

US warns Tanzania over impact of Serengeti road

WASHINGTON — The Obama administration said Wednesday it has raised concerns with Tanzania’s government about the impact of its plan to build a road through the Serengeti wildlife reserve, which environmentalists say could affect the famed wildebeest migration and threaten endangered species. The top U.S. diplomat for Africa, Johnnie Carson, said he brought the matter up in meetings with top …

Mama Salma: Walimu anzisheni vikundi vya kujisomea

Na Anna Nkinda – Maelezo WALIMU nchini wametakiwa kuanzisha vikundi vya kujisomea kwa wanafunzi ili watoto hao wawe na tabia ya kupenda kusoma ambayo itawasaidia kutotumia muda wao vibaya na kujiingiza katika tabia hatarishi zilizopo ndani ya jamii. Wito huo umetolewa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akifungua mradi wa asante maktaba ndogo ya kujisomea iliyopo katika …

Raia wa Uingereza mbaroni kwa Bhangi

Na Mwandishi Wetu, Thehabari, Mwanza MENEJA wa Kampuni ya OTS ya mkoani Shinyanga, ambaye ni raia wa Uingereza  anashikiliwa na Jeshi la Polisi Jijini hapa baada ya kudaiwa kupatikana na misokoto minne ya dawa za kulevya aina ya bhangi kwenye gari analotumia. Meneja huyo, Hilton Millers (28) alikamatwa juzi majira ya saa 9 mchana katika Hoteli ya Tilapia Kapripoint jijini …