Wapiga kura mil 2.6 walikuwa feki Zimbabwe

ORODHA ya wapiga kura iliyofichuliwa katika daftari la kudumu la wapiga kura nchini Zimbabwe hivi karibuni imebaini kuwa majina ya wapiga kura hewa ni milioni 2.6, wapiga kura hawa feki waliingizwa ili kuendeleza udanganyifu. Taarifa hizo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika moja linaloheshimiwa sana nchini Afrika Kusini ‘South African Institute of Race Relations’ lililofanya utafiti juu shughuli …

Shibuda asema CCM inauchakavu wa fikra

Na Mwandishi Wetu, Thehabari, Maswa  MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda amesema CCM ina uchakavu wa fikra na anguko la vitendo linalowatafuna viongozi wake hivyo kushindwa kutambua hisia za wananchi. Kwamba viongozi hao wamesahau na kuzitupa siasa za Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa kuwa na sera ya kutesa kwa zamu hali inayowanyima haki wananchi ya …

Ikulu yasikitishwa na kauli ya viongozi wa dini

(Kushoto ni Jengo la Ikulu ya Tanzania) Taarifa za Maaskofu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kumpa Rais Jakaya Mrisho Kikwete saa 48 kuwataja kwa majina viongozi wa dini wanaotuhumiwa kujihusisha na madawa ya kulevya, ni kauli ya kusikitisha na ambayo haikutegemewa kutoka kwa viongozi hao wa dini. Viongozi wa dini ni watu wa kutumainiwa sana katika jamii yeyote, lakini …

“Ghosts” — Albinism in Tanzania

Tanzania’s albinos face many challenges and form a soccer team to fight prejudice. Albinism is a genetic condition causing a lack of melanin in the skin, eyes and hair. It is estimated to affect one in 3,000 people in Tanzania — seven times as many as in the West. Unlike those in the West who lead relatively normal lives, albinos …