Upinzani waiponda bajeti, wasema imejaa upotoshaji

Baadhi ya wabunge waliotoa maoni yao kuhusiana na bajeti hiyo, walieleza kwamba ni bajeti yenye lugha ya kufurahisha na kugusa hisia za watu, ya kinadharia lakini isiyo na ubunifu. Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, alisema: “Mkulo ametoa maelezo ya kisiasa…serikali imewapiga wafanyakazi changa la macho kwa sababu haijaeleza itapunguza kodi kwenye mishahara kwa asilimia ngapi na wala …

Ijue bendi ya ‘FFU’ ya nchini Ujerumani

“The Golden Voice of East Africa”  BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band, ni bendi ya kwanza ya kiafrika iliyojiwekea nafasi ya pekee katika nyoyo za washabiki uko ughaibuni. Bendi hiyo ambayo inatajwa kuwa ndio bendi ya kwanza ya kiafrika kutumia muziki wake kutoka uswahilini kama daraja la kuwafikia washabiki wake katika kona zote duniani, pia imetajwa na …

Bajeti 2011/2012, daladala kuumia, pombe, sigara juu tena

Na Said Mwishehe, Dodoma BAJETI ya fedha ya mwaka 2011/2012 imeonesha kutoa matumani makubwa kwa mwananchi wa kawaida kutokana na dhamira ya Serikali kupunguza ukali wa maisha huku ikitangaza vipaumbele vyake ni umeme, maji, miundombinu, viwanja vya ndege, kuinua kilimo cha umwagiliaji na kupanua ajira.  Katika bajeti hii mpya Serikali inatarajia kutumia zaidi ya trilioni 13.5 ikiwa ni kiasi kikubwa …

Serikali, sekta binafsi kushiriki ununua mazao

 Benjamin Sawe na Beatrice Mlyansi Maelezo-Dodoma SERIKALI itaendelea kushirikisha sekta binafsi ili kushiriki kununua kwa wingi mazao, kuyasindika na kuyasambaza kwa bei nafuu kwenye maeneo yenye upungufu.  Akijibu swali Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango lililouliza serikali inampango gani madhubuti kurekebisha kupanda kwa bei za vyakula kuliko uwezo wa wananchi kiuchumi, Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Lazaro Nyalandu …